Home »
» WAKAZI WA GAIRO MKOANI MOROGORO WAVAMIA LORI LA MAFUTA
WAKAZI WA GAIRO MKOANI MOROGORO WAVAMIA LORI LA MAFUTA
#MOROGORO: Wakazi wa Gairo mkoani Morogoro wamevamia tena lori la mafuta lililopinduka ili kujipatia mafuta.
-
Majeraha ya ajali kama hiyo iliyotokea miaka miwili iliyopita nakuuwa zaidi ya watu 100 bado hayajapona na idadi ya wananchi wanaokimbilia lori hilo imeendelea kuongezeka kiasi askari waliopo katika eneo hilo wameshindwa kuwazuia.
Nini kifanyike, Usiache kutuandikia
Picha na Mroki Mroki
-
#Shinenewsblog
Related Posts:
MCHUNGAJI CHARLES PROSPERITY KUHESABIWA HAKUNA MAHUSIANO NA MAMBO YA GIZA KISHETANIWA YA USHETANINa. Kadala Komba Dodoma MCHUNGAJI kiongozi Charles A. Prosperity wa kanisa la The Covenant Place lililopo kisasa Relini Dodoma amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa Makarani wa Sensa ya watu na makazi ambalo linatal… Read More
WAKAZI WA GAIRO MKOANI MOROGORO WAVAMIA LORI LA MAFUTA #MOROGORO: Wakazi wa Gairo mkoani Morogoro wamevamia tena lori la mafuta lililopinduka ili kujipatia mafuta. - Majeraha ya ajali kama hiyo iliyotokea miaka miwili iliyopita nakuuwa zaidi ya watu 100 bado hayajapona na idadi … Read More
ASKOFU DKT. MWAKIPESILE: MUWE TAYARI KUHESABIWA KWA MAENDELEO YETU NA. MWANDISHI WETU. Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Dkt. Brown Abel Mwakipesile ametoa wito kwa waumini wa kanisa hilo kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi litakalofanyika tarehe 23 Agosti, 2022 … Read More
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 23, 2022… Read More
Waziri Simbachawene amshukuru Rais kwa fedha ya miradi maendeleoNa.Mwandishi Wetu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kiasi cha billioni 16 kwa mwaka ulio… Read More
0 Comments:
Post a Comment