Home »
» AWESO MWENYEKITI BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI BONDE L MTO NILE
AWESO MWENYEKITI BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI BONDE L MTO NILE
Kutoka katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mji wa Bonde la Mto Nile, uliofanyika Dar Es Salaam Tanzania, Waziri wa Maji wa Tanzania, Mhe. Juma Aweso amepokea Uenyekiti wa Baraza Hilo ambalo linaundwa na Mawaziri 10 kutoka nchi wanachama 10.
Waziri Aweso ameongoza kikao chake cha kwanza cha Baraza hilo leo katika ukumbi wa mikutano wa Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam.
Bonde la mto Nile Lina Watu zaidi ya milioni 272 ambao wanaishi kutegemea Bonde Hilo.
Taasisi ya Mpito ya Bonde la Mto Nile ilianzishwa Dar es Salaam tarehe 22 Februari 1999.
Related Posts:
TUIMARISHENI UFANISI KATIKA UTENDAJI KAZI – DKT. YONAZINa. Mwandishi Wetu – Dodoma. KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonazi, amewataka watumishi wa Ofisi hiyo kuimarisha ufanisi katika utendaji kazi wa kila siku ili kufanikiwa katika kufikia ma… Read More
OVERCOMING REJECTIONS Assistants to Minister of State in President’s Office (Planning) initially rejected me, saying “the boy is too young for the post.” Later on, they all became my trusted friends. The Permanent Secretary in the same office, … Read More
ASKOFU MWAKIPESILE AKABIDHIWA GARI LA UTUMISHI Na Johndickson Gaudin,Dodoma Wakati Tanzania na Dunia ikiazimisha siku ya wanawake duniani kama ilivyo tamaduni ulimwenguni kote siku ambayo huadhimishwa kila ifikapo machi 8 ya kila mwaka ,Askofu Mkuu wa kanisa la EAGT Br… Read More
SEKTA YA UTALII INACHANGIA ASILIMIA 17% PATO LA TAIFA NA 20% FEDHA ZA KIGENI.Na Moreen Rojas, Dodoma. Kamishna msaidizi mwandamizi Jeshi la uhifadhi ofisi ya kiunganishi TANAPA Dodoma Dkt.Noelia Myonga amesema sekta ya utalii inachangia asilimia 17% ya pato taifa na asilimia 20% ya fedha za kigeni. … Read More
WAFANYABIASHARA WANAOANZA BIASHARA WAMERUSIWA KUFANYA BIASHARA MIEZI 6 BIRA KULIPA KODINa Kadala Komba , Kondoa WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk Ashatu Kijaji amésema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutokulipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwa… Read More
0 Comments:
Post a Comment