Home »
» WANAUME WAWE WAANGALIFU
WANAUME WAWE WAANGALIFU
Wanaume wanapaswa kuwa waangalifu, wasikivu, wenye msimamo, waaminifu, na wenye huruma. Wanapaswa kuonyesha upendo na hisia zao za huruma. Ikiwa watatitimiza maneno ya Kristo, upendo wao hautakuwa wenye asili duni, wa kidunia, wa kimwili ambao utasababish na uharibifu wa miili yao wenyewe na kuleta juu ya wake zao unyonge na magonjwa. Hawatajiingiza katika kuendekeza tamaa mbaya, huku wakipiga kelele masikioni mwa wake zao kwamba ni lazima wajisalimishe kwa mume katika kila kitu.
Mume anapokuwa na tabia yenye heshima, usafi wa moyo, akili iliyoinuliwa ambayo kila Mkristo wa kweli lazima awe nayo, itadhihirika katika uhusiano wa ndoa. Ikiwa ana nia ya Kristo, hatakuwa mharibifu wa mwili, lakini atakuwa aliyejaa upendo mwororo, akitafuta kufikia viwango vya juu kabisa katika Kristo.
*— Adventist Home.*
*— Ukurasa: 125, Aya:1*
Related Posts:
RAIS SAMIA KUZINDUA MATOKEO YA SENSA NA MUONGOZO WA MATUMIZI YA MATOKEO HAYO JIJINI DODOMANa. Kadala Komba Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hamza Hassan Juma,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa Matokeo ya Mwanzo … Read More
NAIBU WAZIRI WIZARA YA MAJI ATEMBELEA MKOA WA KIGOMA Na Mwandishi wetu Kigoma Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ametembelea Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji na Usafi wa Mazingira Kigoma. Mradi huu unatumia ziwa Tanganyika kama chanzo cha maji, katik… Read More
BAHI YAFUNGUA MILANGO KWA WANAFUNZI WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU. Na Kadala Komba- Dodoma Diwani wa Kata ya Mpamatwa, Sosthenes Mpandu amewataka wanafunzi kusoma kwa juhudi na kujiamini ili kufanya vizuri katika mitihani yao hatimaye waweze kujiunga na masomo ya elimu ya juu.… Read More
NAIBU WAZIRI MERYPRICA MAHUNDI AMETOA OYO KALI KWA WALE WANAOCHEPUSHA MAJI Naibu Waziri wa Maji Meryprisca Mahundi akizungumza kwenye kikao baina ya Kamati ya Mawaziri Nane wa Wizara za Kisekta inayoshughulikia migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975 na wanan… Read More
KATAMBI AMEWATAKA VIJANA KUJITAMBUA NA KUTHUBUTUNa. Kadala Komba Dodoma Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu ,Kazi Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, amewataka vijana kujitabua ,kuwa na uthubutu pamoja na kujiwekea malengo ,Amesema uwezi ku… Read More
0 Comments:
Post a Comment