Home »
» KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAKUTANA DODOMA.
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAKUTANA DODOMA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Leonard Maboko akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mkakati wanne wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Dawa za Kulevya Mhe. Fatma Taufiq (Mb.) akifafanua jambo wakati wa kikao hicho jijini Dododma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati wa kikao cha mawasilisho ya Utekelezaji wa Mkakati wanne wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI mbele ya Kamati ya Kudumu ya Masuala ya UKIMWI katika Ukumbi wa Bunge, Jijini Dodoma.
Meneja wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI Dkt. Anath Rwebembera (aliyesimama) akiwasilisha akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Related Posts:
WANANCHI WAASWA KUACHA KUDANGANYA MAENEO YA MAKAZI. Na Moreen Rojas,Dodoma.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amewaasa wananchi na wakazi wa Dodoma kuacha kudanganya maeneo ya makazi ili kuepusha migogoro ya ardhi.Mhe.Senyamule ameyasema hayo wakati akizindua … Read More
HATUA KUU NANE UNAZO TAKIWA KUZICHUKUA KABLA YA KUOVATECK (1) hakikisha hakuna dereva nyuma yako aliye omba kuovateck kabra yako.2) hakikisha mazingira uliyopo yana kuruhusu kufanya hivyo.3) hakikisha kwamba aliyopo mbele yako yuko tayari kupitwa.4) hakikisha kwamba wewe mwen… Read More
SERIKALI YA KANADA IMETOA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 240 KUBORESHA SEKTA YA AFYA TANZANIA. Na Moreen Rojas,DodomaWaziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameishukuru Serikalia ya Kanada kupitia Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Kanada Mhe. Harjit Sajjan wake kwa kusaidia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tan… Read More
CANADA YATOA SHILINGI DOLA MILIONI 50 KWA AJILI YA MAENDELEO YA ELIMU NCHINI. Na Moreen Rojas,Dodoma.Waziri wa Elimu Prof.Adolph Mkenda amepokea dola za Canada milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya elimu nchini.Hafla hiyo imefanyika leo katika ofisi ya wizara jijini Dodoma ambapo asilimia 25 itatu… Read More
ZAMBIA YAVUTIWA NA MFUMO WA MASOKO YA MADINI NCHINI TANZANIA Dodoma Sekta ya Madini nchini Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa kwa nchi nyingi za Afrika kwa namna ilivyoweza kurasimisha sekta ndogo ya uchimbaji madini na hivyo kupelekea wachimbaji wadogo kufanya shughuli za… Read More
0 Comments:
Post a Comment