Home »
» MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI DODOMA
MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI DODOMA
Na. Kadala Komba Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akipokea Mwenye wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba tayari kuanza kukimbizwa mkoani humo kuanzia leo Jumanne Agosti 16, 2022.
Wakati wa Mbio hizo za Mwenge kutakuwa na uwekaji mawe ya msingi, ukaguzi na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Related Posts:
VIJANA NA WANAWAKE CHANGAMKIENI FURSA ZA KILIMO. Na Moreen Rojas,Dodoma.Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Pindi Chana amewataka vijana na wanawake kuchangamkia fursa za kilimo.Waziri Pindi ameyasema hayo katika ufunguzi wa kongamano la zao la mtama maony… Read More
YALIYOJIRI LEO AGOSTI 15, 2023 WAKATI WA UFUNGUZI WA JENGO LA KITEGA UCHUMI (SAFINA HOUSE) LA KANISA LA ANGLIKANA* *Aliyosema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan*#Pamoja na kutoa huduma zilizopangwa, jengo hili la kitega uchumi limebadili mandhari na limeleta mandhari ya kupendeza ndani ya Jiji la Dodoma… Read More
MKUU WA MKOA SENYAMULE AMELIPONGEZA SHIRIKA LA DASPA KWA KUZALISHA MBEGU BORA Mhe.Mkuu wa Mkoa Rosemary Senyamule amelipongeza Shirika la DASPA kwa kuwa wazalishaji wa mbegu bora ikiwa ni njia nzuri ya kuimarisha maisha ya mkulima kwa kumpatia lishe na kipato.Mhe.Senyamule ameyasema hayo wakati w… Read More
HABARI PICHA : MHE.MEJITII AVUTIWA NA ZANA ZA KILIMO MAONESHO YA 88 DODOMA BANDA LA DASPANa. Kadala Komba Dodoma Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi Mh. Donald Mejitii na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ametembelea Mabanda wakati wa Maonesho ya Kilimo Kimataifa Nane Nane yanayoendelea kat… Read More
NAIBU WAZIRI KATAMBI AMEIPONGEZA DASPA KWA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS SAMIA Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
💥💥💥💥💥💥
ReplyDelete