Home »
» NAIBU WAZIRI UMMY NA MUMEWE WAHESABIWA
NAIBU WAZIRI UMMY NA MUMEWE WAHESABIWA
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. Ummy nderiananga ,mumewe pamoja na wanafamilia wamekwisha hesabiwa . wewe je
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu Amehesabiwa.
Related Posts:
MKULIMA WA KARANGA NA MTAMA ANAYETUMIA VIFAA VYA KISASA KULIMA NA KUPANDA Na. Kadala Komba Dodoma Katibu Mtendaji wa Shirika la Agriculture Seeds Production Association (DASPA), Aithan Chaula amesema Hapa naendesha kilimo cha karanga na mtama kwa kutumia teknolojia mbalimbali katika kuandaa mash… Read More
RWANDA KUBADILI MUDA WA MASOMO SHULE ZOTE IFIKAPO MWAKA 2023Rwanda wamebadili muda wa kuanza na kumaliza masomo na saa za kazi. Kuanzia Januari 01 2023, Shule zote zitaanza masomo saa 2:30 asubuhi na kumaliza saa 11 jioni. Saa za kazi ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni. Hii… Read More
TIMU YA MBEYA CITY YAKABIDHI ZAWADI KWA WAGONJWA KATIKA KITENGO CHA WAZAZI META.Na.Mwandishi wetu Mbeya Katika kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka, ikiwemo Krismas na Mwaka mpya timu ya Mpira wa Miguu ya Mbeya City ikiongozwa na viongozi wake wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Kitengo c… Read More
UONGOZI DOREFA WAAGIZWA KUFUTILIA MAENEO YALIYOTENGWA KWAJILI YA MICHEZO Na Kadala Komba Dodoma Wanamichezo nchini waaswa kupambania tasnia ya michezo ikiwa ni agenda ya kuhakikisha tasnia hiyo inapewa thamani na kipaumbele kama sekta zingine. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa michezo N… Read More
MKUU WA MKOA DODOMA MHE. ROSEMARY SENYAMULE AMEPOKEA HATI YA PONGEZI KUTOKA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI GEITA Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepokea hati ya pongezi kutoka kwa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Geita kwa kutambua mchango wake na kuleta mageuzi katika kipindi ambacho amekua Mkuu wa Mkoa huo. Hati … Read More
0 Comments:
Post a Comment