Home »
» KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] DANIEL CHONGOLO TAYARI NAE AMEHESABIWA
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] DANIEL CHONGOLO TAYARI NAE AMEHESABIWA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Faith Buruhani (kushoto) wakati wa kuhesabiwa kwenye makazi yake Msasani jijini Dar es salaam leo tarehe 23, Agosti 2022. (Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)
Related Posts:
WFP YAKABIDHI VIFAA VYA MAWASILIANO KWA OFISI YA WAZIRI MKUUNa Mwandishi wetu-Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu ) Mhe. Ummy Nderiananga amepokea vifaa vya mawasiliano vitakavyotumika katika kukabiliana na maafa mbalimbali hapa nchini ambavyo ni Nde… Read More
MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa August 26 2022MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa August 26 2022/Newspaper Front pages for August 26th 2022 … Read More
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU KUKABILI MAAFA.Na Mwandishi wetu- Dodoma. Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika mapambano dhidi ya maafa ambayo hujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini na kusababisha athari. Hayo yameelezwa na Mkurug… Read More
Waziri Simbachawene; tuenzi mambo mema yalioachwa na MremaNa Mwandishi Wetu Kilimanjaro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameomba wananchi kuenzi mambo mema yaliyoachwa kama alama wakati wa uhai wa Mhe. Augustino Lyatonga Mrema. … Read More
*MAMBO MHIMU YA KUOMBA PINDI UNAPOKUWA NYAKATI NGUMU AMBAZO HAUJUI UTAFANYA NINI..*Sehemu ya kumi. *11. Omba Mungu yakwamba maneno ya kinywa chako na mawazo yako yapate kibali mbele zake.* Biblia inasema hivi👇🏻 *👉Zaburi 19:14 Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, … Read More
0 Comments:
Post a Comment