Home »
» RC CHALAMILA AKAGUA UTENDAJI WA BANDARI BUKOBA (TPA)
RC CHALAMILA AKAGUA UTENDAJI WA BANDARI BUKOBA (TPA)
MKUU wa Mkoa wa Kagera Alberth Chalamila amewataka watumishi wa bandari (TPA) kuwa waadilifu ,kuheshimiana, kuzingatia maadili na kutekeleza majukumu yao kama taratibu zinavyotaka hayo yamejili mapema mkoani hapo.
"Mimi sehemu kubwa naangalia mapato ya umma hivyo nachoweza kusema Hapa bado hakuna utaratibu mzuri wa kibandari, uchakavu wa Miundombinu na matumizi sahihi ya teknolojia , kama bandari haina scanner ni jambo la hatqri , hili ni muhimu sana Meneja lishughulikie kwa nguvu na kwa uharaka Sana "ameeleza chamamila"
Aidha ameeleza juu ya uholela wa mialo na upitishaji wa madawa ya kulevya na kuna mbinu nyingi zinatumika kupitisha madawa hayo ikiwemo kuweka kwenye nyama zinazoenda visiwani, pia upitishwaji wa mizigo ambayo hailipowi kwa kutopewa namba ya malipo mfano mizigo ya barafu na Mafuta hivyo kuwapa wiki Moja kabadilika kabla ya Kuanza kuchukua hatua kwani huduma wanayoitoa ni kwa manufaa ya umma.
Matukio ya Picha wakati ukaguzi unaendelea
0 Comments:
Post a Comment