Home »
» MATUKIO KATIKA PICHA ;BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI NA WANASIASA WALIOHUDHURIA JUBILEI YA MIAKA 50
MATUKIO KATIKA PICHA ;BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI NA WANASIASA WALIOHUDHURIA JUBILEI YA MIAKA 50
MATUKIO KATIKA PICHA: Baadhi ya Viongozi wa Serikali na Wanasiasa waliohudhuria adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya miaka 50 ya Jimbo Katoliki Singida pamoja na Miaka 25 ya Upadre wa Mhashamu Edward Elais Mapunda Askofu wa Jimbo Katoliki Singida.
Katika Adhimisho hilo mgeni rasmi alikua ni Jenerali Venance Mabeyo Mkuu wa Majeshi ya ulinzi mstaafu.
www.radiomaria.co.tz
#RadioMariaTz
Related Posts:
HABARI PICHA : MHE.MEJITII AVUTIWA NA ZANA ZA KILIMO MAONESHO YA 88 DODOMA BANDA LA DASPANa. Kadala Komba Dodoma Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi Mh. Donald Mejitii na Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ametembelea Mabanda wakati wa Maonesho ya Kilimo Kimataifa Nane Nane yanayoendelea kat… Read More
YALIYOJIRI LEO AGOSTI 15, 2023 WAKATI WA UFUNGUZI WA JENGO LA KITEGA UCHUMI (SAFINA HOUSE) LA KANISA LA ANGLIKANA* *Aliyosema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan*#Pamoja na kutoa huduma zilizopangwa, jengo hili la kitega uchumi limebadili mandhari na limeleta mandhari ya kupendeza ndani ya Jiji la Dodoma… Read More
*WANANCHI WA MBEYA MSIINGIZWE KINGI NA WAPINZANI, WAMEPUYANGA: DKT. TULIA*Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi hususani wa Jimbo lake wajihadhari na watu wenye nia ovu ya kutaka kuwagombanisha na Serikali&nb… Read More
WANAHABARI NA WATUMISHI WAMEJERUHIWA HIFADHI YA NGORONGORO … Read More
NAIBU WAZIRI KATAMBI AMEIPONGEZA DASPA KWA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS SAMIA Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE … Read More
0 Comments:
Post a Comment