Home »
» MIAKA 2 JELA KWA KUVAA NGUO ZA UTUPU
MIAKA 2 JELA KWA KUVAA NGUO ZA UTUPU
Rwanda Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30
Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu wa Ufaransa Tayc, akiwa amevalia mavazi yenye kuonyesha sehemu za mwili wake
Habari za kukamatwa kwake zilizua hasira kwa baadhi ya Wanyarwanda waliodai huo kuwa unyanyasaji wa Wanawake, lakini Maafisa wa Serikali akiwemo waziri wa zamani wa Sheria Johnston Busingye waliunga mkono hatua hiyo.
Related Posts:
CHUO KIKUU HURIA NDIO CHUO KINACHOTENGENEZA WATU WENYE UWEZO. Na Moreen Rojas,Dodoma.Chuo kikuu huria(open university) ndio chuo kinachotengeneza watu wenye uwezo kwani watu wanaosoma huku asilimia kubwa wanauwezo wa kuchanganua changamoto mbalimbali.Hayo yameelezwa na Mhe.George … Read More
*Tume yatangaza matokeo Jimbo la Mbarali na kata sita za Tanzania Bara*Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali, Bw. Missana Kwangura amemtangaza Bi. Bahati Ndingo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 44,334 kati ya kura 56,095 halali z… Read More
Matukio Katika Picha ziara ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kutembelea mradi wa JNHPP . Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko leo Septemba 16, 2023, ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere Hydro Power Project ( JNHPP) ambao ujenzi wake umefikia asili… Read More
MAJALIWA: TANZANIA KUWA WAZALISHAJI WAKUBWA WA NISHATI WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa mzalishaji mkubwa na nishati.“Tunaendelea na u… Read More
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUIMBA WIMBO WA UCHOCHEZI. Mwimbaji wa nyimbo za Injili Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye mkoani Mbeya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Jijiji hapa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi.Sifa Bujune pamoja na wenzake wanashi… Read More
0 Comments:
Post a Comment