Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko leo Septemba 16, 2023, ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere Hydro Power Project ( JNHPP) ambao ujenzi wake umefikia asilimia 91. 72, huku bwana likiwa na ujazo wa mita 164.81 sawa na lita bilioni 14.66 sawa na asilimia 47.8.
Katika ziara hiyo ameambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), Maharage Chande na Viongozi wengine kutoka Wizara ya Nishati na TANESCO.
Home »
» Matukio Katika Picha ziara ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kutembelea mradi wa JNHPP .
Matukio Katika Picha ziara ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kutembelea mradi wa JNHPP .
Related Posts:
ASKOFU MWAKIPESILE AKABIDHIWA GARI LA UTUMISHI Na Johndickson Gaudin,Dodoma Wakati Tanzania na Dunia ikiazimisha siku ya wanawake duniani kama ilivyo tamaduni ulimwenguni kote siku ambayo huadhimishwa kila ifikapo machi 8 ya kila mwaka ,Askofu Mkuu wa kanisa la EAGT Br… Read More
PROGRAMU YA TAKUKURU RAFIKI IMEZINDULIWA KATA YA MPAMANTWA WILAYA YA BAHINa. Kadala Komba Bahi Mkuu wa Takukuru Halmashauri Wilaya ya Bahi Erick Kilawe Amesema hii Programu ya TAKUKURU RAFIKI imeanzishwa Maalumu hili kutoa fursa kwa kila Mtanzania kushirikiana na Serikali kupitia Taasisi ya … Read More
BALAA MCHUNGAJI ATINGA MADHABAHUNI NA BUNDUKI Mchungaji wa Kanisa la House on the Rock, Uche Aigbe ametiwa mbaroni na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa kosa la kubeba bunduki aina ya AK-47 wakati wa mahubiri ya Jumapili wakati akitoa mahubiri kuhusu "silaha za kiroho". … Read More
BENG'I:WANANCHI KOPENI FEDHA KWA MALENGO Na Johndickson Gaudin Katibu mtendaji Mkuu wa Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi Beng'i Issa amewaomba wananchi kuacha kukopa fedha bila malengo badala yake watumie mikopo kama fursa ambazo zitawasaidia kupiga Hatua ki… Read More
DHAMANI YA MAZAO CHINI YA PANDA KWA WASTANI WA 12%KWA MWAKA 2020/2021 Na Johndickson Gaudin. Bodi ya usimamizi wa stakabadhi imefanikiwa kuongeza bei ya mazao Mafanikio yaliyopatikana baada ya kuanzishwa kwa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala ikiwa nipamoja kuongeza mapato ya wakulima na mapato … Read More
0 Comments:
Post a Comment