Mwimbaji wa nyimbo za Injili Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye mkoani Mbeya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Jijiji hapa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi.
Sifa Bujune pamoja na wenzake wanashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 wakituhumiwa kuandaa wimbo uliopewa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” unaodaiwa kuwa na maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali.
Wakili wa upande wa utetezi Jebra Kambole, amethibitisha kufikishwa Mahakaman8 kwa Mwimbaji Sifa Bujune na mtayarishaji wa muziki Hezekia George pamoja na wenzao kwaajili ya kusomewa mashtaka yanayowakabili.
Home »
» MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUIMBA WIMBO WA UCHOCHEZI.
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUIMBA WIMBO WA UCHOCHEZI.
Related Posts:
WAZIRI MHAGAMA AMEZITAKA TAASISI ZOTE KUFUATA SHERIA Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora ,Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Taasisi zote za umma nchini kuhakikisha zinazingatia na kufuata sheria, na kanuni za Serikali Mtandao . Ameya… Read More
MAMA AFARIKI AKIFANYIWA MAOMBI KANISANIPolisi nchini Uganda wanachunguza kisa ambapo mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 59 Rosette Najjuma -ameaga dunia akiwa kanisani jijini Kampala. Kwa mujibu wa naibu msemaji wa polisi wa Kampala Luke Owoyesigyire, Najjuma al… Read More
AJARI ZA BARABARANI ZAMUIBUA WAZIRI MASAUNI,ATANGAZA MSAKO WA MADEREVA WA ZEMBE. Na Johndickson Gaudin Dodom. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amesema wizara imejipanga kuhakikisha inapambana na kuthibiti Ajari za barabarani zinazoendelea kutokea hapa nchini. Hayo ameyasema wa… Read More
FAIDA FUND YAPATA MAFANIKIO YA MAUZO HAWAMU YA KWANZA Na. Johndickson Gaudin Dodoma Mfuko wa Uwekezaji wa pamoja FAIDA FUND umefanikiwa kuwa Mfuko wa kwanza wa aina yake kupata mafanikio makubwa katika kipindi cha mauzo ya awali ikilinganishwa na lengo lililowekwa la kuanzish… Read More
MKATABA UJENZI MRADI WA MAJI CHANZO CHA MTO KIWIRA WASAINIWA MBEYA Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSSA) imesaini mkataba wenye thamani ya shilingi Bilioni 117.5 na mkandarasi kampuni ya China Railway Construction Engeneering Group kwa ajili y… Read More
0 Comments:
Post a Comment