Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy
Nderiananga akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima
alipomtembelea ofisini kwake kwa lengo la kujadili utekelezaji wa
Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo na Uvuvi ya AFDP inayoratibiwa na
Ofisi ya Waziri Mkuu.
|
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy
Nderiananga akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima
alipomtembelea ofisini kwake kwa lengo la kujadili utekelezaji wa
Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo na Uvuvi (AFDP)inayoratibiwa na
Ofisi ya Waziri Mkuu. |
0 Comments:
Post a Comment