Home »
» MWALIMU MWAKASEGE AINGILIA KATI VITA YA MCHUNGAJI KIMARO
MWALIMU MWAKASEGE AINGILIA KATI VITA YA MCHUNGAJI KIMARO
VITA YA MCHUNGAJI KIMARO: MWALIMU MWAKASEGE AMESEMA KATIKA SOMO LAKE LA “MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU” KWAMBA PAULO KATIKA UTUMISHI WAKE , KILA ALIPOKUWA AKIPINGWA AU AKIZUIWA, ALIKUWA NA UWEZO WA KUJUA NI NANI ALIEKUWA ANAMPINGA AU ANAMZUIA. SHETANI ALIPOMZUIA PAULO ASIENDE MIJI FULANI, PAULO ALIJUA NI SHETANI ANAMPINGA. NA PIA KUNA WAKATI PAULO ALIKUWA AKIZUIWA NA ROHO MTAKATIFU ASIENDE MIJI FULANI, PAULO ALIJUA NI ROHO MTAKATIFU.
KABLA YA KUANZA KUPIGANA VITA YOYOTE, NI VEMA SAANA TUANZE KUPIGANA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO KWANZA KWA KUOMBA SANA MPAKA TUPATE KIBALI CHA “OK” YA MUNGU KAMA DAUDI (1 Samuel 30:8) “So David inquired of the LORD, saying, "Shall I pursue this troop? Shall I overtake them?" And He answered him, "Pursue, for you shall surely overtake them and without fail recover all."
VITA YA WATUMISHI WA KWELI WA MUNGU INAPOKUWA IMEANZISHWA NA SHETANI KWA KUMTUMIA MKUU, TUSIKULUPUKE TUKAANZA KUPAMBANA BILA KUMUULIZA MUNGU KWANZA ATUPE MAELEKEZO (INSTRUCTIONS) TUANZIE WAPI. TUTAPIGWA VIBAYA SANA TUSIPOPATA OK YA MUNGU.
MWALIMU MWAKASEGE NI MIONGONI MWA WATUMISHI AMBAO WAMETOA MACHOZI MENGI KATIKA UTUMISHI WAO. NI MUHIMU SAAANAA SANA KWETU WAPENDWA TUJUE KUWAOMBEA SAAANA NA KUWATIA MOYO WATUMISHI WOOTE WA KWELI WA MUNGU. WATUMISHI HAWA WANAPOPIGWA NA SHETANI, FAMILIA ZAO PIA ZINATESEKA SANA.
TUMSIFU YESU KRISTO
Related Posts:
SERIKALI IMETIA SAINI YA MKATABA WA UPEMBUZI YAKINIFU Na Moreen Rojas,DodomaSerikali imetia saini ya mkataba wa upembuzi yakinifu na ununuzi wa meli za uvuvi wa bahari kuu na ujenzi wa viwanda viwili vya kuchakata samaki(kilwa na fungurefu)kupitia programu ya kuendel… Read More
ELIMU YA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA KUTOLEWA MASHULENI. Na Moreen RojasDodoma.Elimu ya kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya imeshauriwa kutolewa kunzia shuleni ili kulinusuru kundi la watoto wenye miaka kati ya kumi hadi kumi na mbili ambalo kwa siku za hivi karibuni limeta… Read More
CHAMA CHA USHIRIKA KIMEZINDUA MKAKATI WA UPANDAJI MITI KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA NA WADAU WA USHIRIKA Na. Kadala Kuomba Dodoma Hayo yamejiri jijini Dodoma katika shughuli ya upandaji miti shule ya msingi uhuruDkt. Benson Ndiege Mrajis wa Vyama vya Ushirika amesema tunapozungumzia mazingira ni swala la kidunia ni sw… Read More
TENGENEZENI HISTORIA NZURI YA CHUO CHA VETA BAHI-RC SENYAMULE Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka uongozi wa Wilaya na Chuo cha Ufundi stadi VETA Bahi kuhakikisha wanatengeneza historia nzuri ya chuo hicho ili kilete matokeo chanya na kiwanufaishe watu mbalimb… Read More
PROGRAMU YA AFDP YALETA MATOKEO CHANYA SEKTA YA KILIMO UVUVI. Na. MWANDISHI WETUNaibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amesema Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) inalengo la uzalishaji endelevu wa kibiashara na wenye kuzingatia … Read More
0 Comments:
Post a Comment