Home »
» MAPYA YAIBUKA: MBEYA KIJANA MMOJA AGAWA HELA MTAA KWA MTAA
MAPYA YAIBUKA: MBEYA KIJANA MMOJA AGAWA HELA MTAA KWA MTAA
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Jack au [ZOMBIE MGAWA HELA] ameibua maswali mengi kwa wakazi wa Mbeya Juu ya Hela anazogawa kwa watu kila mtaa anaopita.
Na wengine wakitaka Kujua Ratiba ya wapi maeneo atakayokuwepo na wengine wakiogopa wakihusisha Imani za kishirikina kwamba watatolewa kafara.
Wananchi wengi wameendelea kutoa maoni yao juu ya Utajiri wa ajabu wa kijana huyo anayegawa hela bira masharti yoyote.
Huku akiwajazia mafuta wamiliki wa vyombo vya moto inasadikika Zaidi ya milioni 50 anatumia kugawa kwa watu kila siku.
Inasemekana kijana huyo miaka 3 iliyopita alikuwa msaidizi wa mganga wa kienyeji jina maarufu Dk Manyaunyau baada ya kitambo akibuka na hili .
ZOMBIE MGAWA HELA KATIKA PICHA
Related Posts:
*INEC YAWATAKA WATENDAJI WA UBORESHAJI KUTUNZA VIFAA* Na Mwandishi wetu, KigomaTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetaka watendaji wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma kuhakikisha wanatunza vifaa vya uandikishaji ili vikaweze kutumika m… Read More
TAGAZO LA NAFASI ZA KAZI MTENDAJI WA KIKIJI,MADEREVA, MSAIDIZI MTUNZA KUMBUKUMBU WANAHITAJIKA … Read More
MBUNGE NOLLO AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI MINGI YA MAENDELEO JIMBO LA BAHI Na. Kadala Komba Bahi Haya yamebainishwa na Mheshimiwa Mbunge wa jimbo wa Bahi Kenneth Nollo katika mkutano wa hadhara aliyofanya Mkuu wa Mkoa Dodoma Rosemary Senyemule akisikiliza kero za wananchi kata ya Ba… Read More
*TOFAUTI ZA DINI, SIASA ZISIWAGAWE WATANZANIA - DKT. BITEKO*📌 Awataka waumini kushirikiana na Askofu Pangani📌Serikali kuendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini📌 Rais Samia apewa tuzo kwa uongozi uliotukuka na kulinda amani*Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati*N… Read More
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI … Read More
0 Comments:
Post a Comment