Na Moren Rojas Dodoma
Mkuu
wa mkoa wa Dodoma ROSEMARY SENYAMULE amewataka waajiri kubaini mbinu za
kupunguza ajali kwa wafanyakazi ili kupunguza ajali kazini.
Ameyasema
hayo katika ufunguzi wa mafunzo kwa Madaktari juu ya tathmini ya
ulemavu na magonjwa yatoka nayo na kazi yaliyofanyika jijini Dodoma huku
akilitaka Shirika la Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi(WCF) kuhakikisha
tathmini zinafanyika kwa usahihi na Wafanyakazi wanapata stahiki zao kwa
wakati.
0 Comments:
Post a Comment