Na. Kadala Komba ,Dodoma
Wakiristo wametakiwa kuachana na hali ya kukata tamaa na kuishiwa nguvu hasa pale wanapokutana na changamoto mbalimbali katika maisha yao kwa maana tumaini lipo katika Mungu.
Hayo yamebainishwa na Mchungaji kiongozi wa kanisa la Tanzania Assembles of God(TAG),Nazarath Internatinal Church(NIC) Mchungaji Zephania Marko katika ibada ya jumapili ya tarehe 29,10,2023 kanisa hapo.
Amesema kuwa kutokana na kuwa na mambo mbalimbali na changamoto mbalimbali zinapelekea watu kuishiwa nguvu hata kama wameokoka au kuwa na nguvu nyingi,hivyo kuwaomba wasikate tama wanapokutana na changamoto hizo.
Home »
» MCH.MARKO AMEWATIA MOYO WAKRISTO MSIKATE TAMAA
0 Comments:
Post a Comment