Home »
» RWANDA KUBADILI MUDA WA MASOMO SHULE ZOTE IFIKAPO MWAKA 2023
RWANDA KUBADILI MUDA WA MASOMO SHULE ZOTE IFIKAPO MWAKA 2023
Rwanda wamebadili muda wa kuanza na kumaliza masomo na saa za kazi. Kuanzia Januari 01 2023, Shule zote zitaanza masomo saa 2:30 asubuhi na kumaliza saa 11 jioni.
Saa za kazi ni kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 11 jioni. Hii kuwaongezea muda wa kulala watoto kwani wanaamshwa alfajiri sana na wanasinzia shuleni. Na pia ni kuwawezesha wazazi waweze kuwaona watoto wao na kunywa nao chai kabla ya kwenda shule/kazini.
Related Posts:
DKT. BITEKO AWASIHI WAFANYABIASHARA WA PETROL NA DIZELI KUWA WAAMINIFU. Na Timotheo Mathayo, Dar es Salaam.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasihi Wafanyabiashara wa mafuta ya dizeli na Petroli nchini kuwa waaminifu wakati wakiendelea kutoa huduma kwa Watanza… Read More
MAJALIWA : ONGEZENI USHIRIKI WA WAHANDISI WAZAWA KWENYE UJENZI MIRADI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wahandisi wazawa wanashiriki kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini. Amesema kuwa … Read More
WADAU WA MALEZI YA WATOTO WAKUTANA KUBORESHA MALEZI NA MAKUZI YA MTOTO Wadau wanaoshughulika na malezi na makuzi ya watoto wametakiwa kushirikiana ili kufanikisha malengo ya Programu Jumuishi ya Malezi Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto (PJT -MMMAM) ili kupunguza udumavu na utapiamlo kw… Read More
NAIBU WAZIRI KAPINGA AIHIMIZA TANESCO KUBORESHA UPATIKANAJI UMEME MTWARA NA LINDI Naibu Waziri Kapinga amelihimiza Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania - TANESCO kufanya jitihada mbalimbali kuhakikisha mikoa ya Mtwara na Lindi inapata umeme wa kutosha.Naibu Waziri Kapinga ameyasema hayo leo tarehe 14/0… Read More
MHE. MHAGAMA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI UDIWANI RUVUMA WANANCHI wa Kata ya Mtyangimbole, Kijiji cha IKalangiro kilichopo Wilaya ya Songea Vijijini wametakiwa kutofanya makosa katika marudio ya uchaguzi mdogo wa Udiwani katika Kata hiyo utakaofanyika Septemba 19 … Read More
0 Comments:
Post a Comment