Home »
» WAKULIMA WA DODOMA WAMETAKIWA KULIMA MTAMA KWA WINGI
WAKULIMA WA DODOMA WAMETAKIWA KULIMA MTAMA KWA WINGI
Na Kadala Komba Dodoma
KATIBU Mtendaji wa Shirika la Dodoma Agriculture Seeds Production Association (DASPA) Aithan Chaula Álisema kuwa wanekuwa wakihamasisha wakulima kulima mtama kwani ni zao ambalo Lina sokola úhakika ikiwemo Shirika la Mpango wa Çhakula Duniani (WFP) kununua mtama kwa wakulima wa Mkoani Dodoma.
" Mkulima anapotumia njia za kitaalam hupata mavuno kwa wingi hadi gunia 20 hadi 30 kwa ekari moja..
Àkizungumza na Shine News shambani kwake Kati Kijiji Cha Zinje nje kidogo ya Jiji la Dodoma alisema kilimo cha mtama kinalipa sana hii ni fursa kwa wakulima kufaidika na kilimo .
Chaula ambaye anajishughulisha na uzalishaji wa mbegu za mazao mbalimbali ikiwemo karanga na mtama alisema kuwa Mtama ni zao lenye uwezo mkubwa wa kustahimili ukame ukilinganisha na mazao mengine ya nafaka.
''Mtama unafursa kubwa ya kuzalishwa kwa wingi zaidi kama zao la chakula , hali ya hewa ya Dodoma inakubali sana zao.la mtama,mkoa wa Dodoma mtama unafanya vizuri.," ÁlisemaAlisema kuwa mtama ukilimwa kwa kutumia njia za kitaalam mkulima ana uwezo wa kuvuna gubia 20 hadi 30 kwa ekari moja.
Álisema kuwa wanekuwa wakihamasisha wakulima kulima mtama kwani ni zao ambalo Lina sokola úhakika ikiwemo Shirika la Mpango wa Çhakula Duniani (WFP) kununua mtama kwa wakulima wa Mkoani Dodoma
"Bado wakulima hawajaweza kutosheleza soko laWFP Ni vyema wakulima wakachangamkia fursa ya killimo Cha mtama , hapa tunazo mbegu Bora za mtama," Álisema
Álisema kuwa mwaka Jana walipata mbegu ya mtama ainanya Kari 1 kutoka Shirika Utafiti wa Mazao Yanayomea Nyanda Kame (ICRISAT) lla nchini Malawi na mbegu hiyo imefanya vizuri shambani.
Álisema kuwa sifa nyingine ya mbegu hiyo ni kuwa na Nani refu kwa juu ambalo huzuia ndege kutua na kula mtama.
"Hii ni aina ya mtama ambayo ndegu haugusi, kwani hata akijaribu kutua Kuna Nani refuambalo huwa limamgongagonga huwa anajihisi hayuko salama" Álisema
Pia alisema upepo mkali uliopita wiki iliyopita ulisababisha baadhi ya mtama kulala.
"Mtama unapolala kutokama na upepo hupaswi kuuinua unapouinua unauvunja mtama Kama haujagusa ardhi utakuwa salama mpaka utakapovunwa" Álisema.
kwa upande wake,Fabian Ngoloi ambaye ni mfanyakazi wa shamba la mbegu la DASPA alisema kuwa kilimo Cha mtama kina fursa kubwa katika mkoa wa Dodoma kwani unastawi vizuri.
Álisema kuwa ni vyema vijana wakajikita mwenye shughuli za kilimo hicho kwani ardhi ya Dodoma inakubali vizuri zao hilo.
mwisho
KATIBU Mtendaji wa Shirika la Dodoma Agriculture Seeds Production Association (DASPA) Aithan Chaula akiwa kwenye shamba lake la mtama Kati Kijiji Cha Zinje nje kidogo ya Jiji la Dodoma
Fabian Ngoloi ambaye ni mfanyakazi wa shamba la mbegu la DASPA akielezea fursa kwa vijana
Related Posts:
*”WANANCHI CHANGAMKIENI MBOLEA YA RUZUKU” RC DODOMA*Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati ametembelea kiwanda cha mbolea cha Intracom Tanzania , kiwanda kinachozalisha mbolea kilichopo eneo la Nala Jijini Dodoma.Mhe. Senyamule am… Read More
WATOTO YATIMA WAIOMBA BAKWATA KUWAWEKEA UZIO Na Peter Mkwavila KONDOAWATOTO wa Kituo cha yatima kinachomilikiwa na taasisi ya All Hafidhu Islamic Orphans Centre kilichopo Bicha wilaya ya Kondoa.Wameliomba Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kuwajengea uzio … Read More
UBORA WA KOROSHO UMEONGEZEKA KUTOKA ASILIMIA 95 HADI KUFIKIA ASILIMIA 97.Na Moreen Rojas DodomaJumla ya tani 8,959.023 za korosho ghafi zilibanguliwa ndani ya nchi kati ya tani 240,158.753 zilizozalishwa sawa na 3.7% na jumla ya leseni 55 za ununuzi wa korosho kwa ajili ya kusafishia nje ya nch… Read More
BODI YA FILAMU TANZANIA IMEUNDA KAMATI MAALUM YA KURUDISHA UTAMADUNI WA KUTAZAMA FILAMU KATIKA KUMBI ZA SINEMANa Moreen Rojas Dodoma Hatua hiyo inatarajiwa pia kutoa mchango stahiki katika uchumi wa wadau wa Sekta na Taifa kupitia viingilio vya mlangoni. Kwa upande wa usambazaji Serikali ina makubaliano ya kimataifa Televi… Read More
VIJANA WAKATAA KUCHANJA CHANJO YA UVIKO 19 KWA KUHOFIA KUPOTEZA NGUVU ZA KIUME.Na Moreen Rojas DodomaVijana wengi wameingiwa na hofu ya kukataa kuchanjwa chanjo ya uviko 19 kwa kuhisi watapunguza nguvu za kiume pamoja na kuhisi watajiingiza katika imani za kishirikina.Hayo yamesemwa na Bi.Flora Kima… Read More
0 Comments:
Post a Comment