
Na. Kadala Komba Bahi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Ndugu Boniphace Wilson
akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji wa Halmshauri
ya Wilaya ya Bahi Bi. Zaina Mlawa ametoa maagizo kwa walimu wa
mazingira na wakuu wa shule za msingi kutunza mazingira ya shule na
kupanda miti ya kutosha ili kukabiliana...