Mkuu wa wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Nyingo Akizungumza na Walimu,wazazi,viongozi wa dini katika hafla ya kuwapongeza Walimu wa Shule za msingi na sekondari zilizofanya vizuri katika mitihani ya Taifa.
 |
Mkurugenzi Mtendaji Bi.Zaina Mlaw akisoma risala kwa mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Nyingo |
 |
Katibu Tawala wa Bahi Bi.Mwanamvua Bakari akimkaribishaMkuu wa wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Nyingo
|
Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mwl. Vicent Kayombo akitoa pongeza walimu wa Halmashauri ya Bahi
Mwenyekiti wa ccm wilaya ya Bahi Stuwart Masima akisisitiza swala la elimu na umuhimu wa elimu kwa wazazi
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Donald Mejiti ( MNEC) amewataka wakina mama,vikundi mbalimbali vya sanaa kuhamasisha maswala ya elimu kupitia karama zao
Mbunge wa Jimbo la Bahi Mhe.Keneth Nollo ameelezea mikakati ya elimu katika wilaya ya Bahi tusilizike kufika namba mbili kitaifa bali tuongeze juhudi mwakani 2026 tuwe namba moja
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mh George O. Fuime akijitapa kuwapita halmashauri ya bahi kielimu.
Mwenyekiti wa Alet Mkoa White Zubari ameipongeza halmashauri yawilaya ya Bahi kwa kuweka utaratibu wa kupongezana kwa kutoa zawaidi hata sisi tumekuja kujifunza kwenu hii tutachukua na kuifanyia kazi.Zawadi Tuzo na
fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa
pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala
la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio |
Zawadi Tuzo na
fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa
pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala
la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio |
Mkurugenzi Mtendaji Bi.Zaina Mlawa akipokea tuzo kwa kusimamia vyema maendeleo ya elimu katika Halmashauri ya Bahi
Ikiwa ni kawaida kwa Uongozi Wa Wilaya hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Bahi Misheni Paschal Mchewa akipokea tuzo
 |
Afisa Elimu ya Awali na Msingi wa Wilaya ya Bahi, Bonaface William aliyeshika tuzo akifurahi na waalimu
|
 |
Ikiwa
ni kawaida kwa Uongozi Wa Wilaya hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na
fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa
pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala
la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio.
| Mhe. Diwani kata ya Ilindi Sangula akipokea bahasha ya fedha pamoja na walimu
|
 |
Ikiwa
ni kawaida kwa Uongozi Wa Wilaya hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na
fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa
pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala
la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio.
|
 |
Ikiwa
ni kawaida kwa Uongozi Wa Wilaya hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na
fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa
pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala
la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio.
|
Ikiwa ni kawaida kwa Uongozi Wa Wilaya hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio.
 |
Walimu shule za msingi Halmashauri ya Bahi |
 |
Wanafunzi wa shule ya msingi Bahi Misheni |
|
 |
Ikiwa
ni kawaida kwa Uongozi Wa Wilaya hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na
fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa
pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala
la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio.Diwani kata ya Bahi Mhe.Ndonu na Diwani viti maalumu Kurusumu sambamba na mwalimu
|
|
 |
Ikiwa
ni kawaida kwa Uongozi Wa Wilaya hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na
fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa
pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala
la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio mwalimu Asifiwe Kiula .
|
|
 |
Ikiwa
ni kawaida kwa Uongozi Wa Wilaya hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na
fedha tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ambao kwa
pamoja kama wadau wanachangia kila mtu kwa nafasi yake kuhakikisha suala
la elimu kwa ngazi zote linafanyika kwa mafanikio.
| Mhe. Diwani kata ya Sosthenes Mpandu na mwalimu
|
Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Bahi Misheni Paschal Mchewa akiwa na wanafunzi
Wanafunzi wa Engli Medimu
 |
Meza kuu |
 |
Kikundi cha ngoma Chonde wakiimba wimbo maalumu wa elimu
|
Na. Kadala Komba Bahi
Mkuu
wa wilaya ya Bahi Mhe. Joachim Nyingo alisema mimi ni mgeni kwenye hii
wilaya mambo makubwa yamefanyika, yametekelezeka na viongozi wenzangu
waliyo nitangulia hata hizo sifa sistahili kupata wala hizo pongezi kwa
sababu ya ugeni wangu mimi ni mgeni najifunza tu, naomba katika
kujifunza kwangu mnifundishe taratibu ili niweze kuelewa vizuri na
kushika vinavyopasika kushika vizuri. Zaidi ili niweze kuwa mwanafunzi
mzuri katika kutekeleza majukumu yangu , hivyo naelekeza sifa zote
zilizotolewa na nyimbo zilizoimbwa na kila kilichoelezwa naomba kwanza
kupelekwe kwa watangulizi wangu ambao natamani wangekuwepo siku hii ya
leo tuwapongeze kwa kazi kubwa waliyofanya , pia natumia nafasi hii
kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maono yake na ndoto zake
za kuamua kuiweka Bahi kwenye ramani ya Tanzania kwa kuleta fedha na
kuhakikisha kuna miundo mbinu mizuri iliyosababisha elimu iweze
kupatikana.
Hayo
yamejiri Viwanja vya shule ya msingi Bahi Misheni Tarehe 10 May,2025
katika hafla ya kuwapongeza Walimu wa Shule za msingi na sekondari
zilizofanya vizuri katika mitihani ya Taifa. Ikiwa ni kawaida kwa
Uongozi Wa Wilaya ya Bahi hiyo Kutoa motisha kwa kutoa Tuzo na fedha
tasilimu kwa Shule,walimu, wanafunzi na wazazi ambao ni wadau wa elimu
ambao kila mtu kwa nafasi yake amehakikisha suala la elimu kwa ngazi
zote linafanyika kwa mafanikio, Katika hafla hiyo Mgeni rasmi alikuwa
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.Joachim Thobias Nyingo.
Sambamba
na hilo Mkurugenzi Mtendaji Bi.Zaina Mlawa amesoma risala kwa mgeni
rasmi amesema Halmashauri ya Wilaya ya Bahi ina shule themanini na sita
za msingi (86) na shule ishirini nasaba (27) za Sekondari na shule moja
binafsi ya sekondari, idadi ya wanafunzi kwa sekondari ni helfu kumi na
moja mia tisa stini na tisa kwa upande wa elimu ya msingi tunawanafunzi
halfu hamsini na nane mia saba thelathini na saba Mheshimiwa mgeni
rasmi Halmashauri ya Bahi imepata mafanikio makubwa katika sekta ya
elimu ikiwa katika awamu hii ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia
Suluhu Hassan baadhi ya mafanikio hayo ni kutoka mwaka 2021 hadi 2025
tulikuwa tunaidadi ya shule za msingi 72 hadi sasa tunashule za msingi
86 ambapo tumepata ongezeko la shule 14 mpya kwa elimu sekondari
tulikuwa na jumla ya shule 21 na vipi sasa tuna jumla ya shule 27 haya
ni mafanikio makubwa chini ya Jemedari wetu Rais Dkt. . Samia tumeweza
kufanikiwa .
Aidha,
Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mwl. Vicent Kayombo amewapongeza walimu wa
Halmashauri ya Bahi mumeiheshimisha Bahi lakini mumeuheshimisha mkoa wa
Dodoma kazi mliyoifanya imeonekana,sisi waalimu tunakazi mbili tu ambazo
tunapimwa na jamii kazi ya kwanza ni malezi ya mtoto tunayekabidhiwa
wazazi na wadau wengine wanauliza mtoto mwenye tabia hizi ametoka shule
gani ? Kwaiyo idadi ya wanafunzi wenye nidhamu,heshima na adabu na mambo
yote mema yanaangalia mtoto amesoma shule gani walimu ambao
walimfundisha uyo mtoto ni wa shule gani ,kwa hiyo ya kwanza ni malezi
kazi ambayo walimu mumeifanya hongereni sana alisema .
Naye
mwalimu wa shule ya msingi Bahi Misheni Paschal Mchewa amesema
mafanikio kwanza yanatoka kwa wazazi wanafanikisha watoto wanapata
chakula cha mchana lakini pia wanapata uji pamoja na ushirikiano wote
ndani ya Halmashauri mbali na hayo walimu wa shule ya msingi Bahi
Misheni ni walimu ambao wanawajibika bila kufuatiliwa lakini kitu
kingine kinacho tusaidia motisha kwa walimu tumejitahidi kutoa motisha
kila mwishoni mwa mwaka tunawaona wadau wa elimu mbalimbali tunaomba
fedha ,tunaomba vitu basi walimu wanapata motisha kwa kupewa vitu na
fedha pia wanaenda tua mbalimbali mfano mwaka juzi tumeenda Serengeti
kwa mwaka jana tumeenda Dodoma mjini mwaka huu Mei mosi nimewapeleka
Dodoma mjini kupata chakula cha mchana kwaiyo motisha inasaidia sana .
 |
Viongozi wa dini
|
0 Comments:
Post a Comment