Subscribe Us

WAKULIMA WATUMIA FURSA KUJIFUNZA MBINU ZA KILIMO CHA KISASA SIKU YA MKULIMA SHAMBANI ARUSHA

MATUKIO YA PICHA 18 AUGUST 2023  SIKU YA MKULIMA MKOANI ARUSHA  KIJIJI CHA OLDONYONG’RO KINGORI.

 Na. Mwandishi wetu Arusha


 

 


Zana Bora  za Kisasa katika Kilimo ya Mtama na Karanga    





Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Alssem, Dk Emmanuel Moyo anaonekana mbele akiwa amevalia kofia nyeupe na Shati ya Blue mikono mirefu   akiwatembeza Viongozi  na Wataalamu  Sambamba na  Wakulima Waliofika Shambani hapo kujionea na kujifunza njia bora za kisasa(Shamba la karanga mbegu Naliendele 16)  










Mtaalam Wa kilimo Aithan Chaula ambaye pia ni Katibu Mtendaji Shirika la Dodoma Agriculture Seed Production Association (DASPA) Akitoa Elimu namna ya kutumia mashine za kupandia mbengu aina zote








Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Alssem, Dk Emmanuel Moyo anaonekana mbele akiwa amevalia kofia nyeupe na Shati ya Blue mikono mirefu   akiwatembeza Viongozi  na Wataalamu  Sambamba na  Wakulima Waliofika Shambani hapo kujionea na kujifunza njia bora za kisasa(Shamba la Mtama )

0 Comments:

Post a Comment