Na. Kadala Komba Bahi
Afisa Afya Wilaya ya Bahi Ramadhan Nyezi amesema hayo April 21 ,2025 wakati akizungumza na Mwandishi wa Habari Shine News Blog wakati wa zoezi la usafi likiendelea maeneo tofauti tofauti ya Wilaya .
Alisema Nawapongeza Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kwa kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la usafi wa mazingira ambao umefanyika maeneo mbali mbali kama kandokando ya Barabara pamoja na maeneo ya Biashara na kwenye mitaro kwa lengo la kuhakikisha maeneo yote ya Bahi yanakuwa safi ili kujilinda na magonjwa.
Home »
» WANANCHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI WAMEJITOKEZA KWA WINGI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA
0 Comments:
Post a Comment