WAKULIMA wa zao la mtama wameshauriwa kutumia mbegu ya mtama aina ya TARISOR1 kwa kuwa mtama huo hauliwi na ndege kama ilivyo kwa mtama mwingine.
Mbegu ya mtama TARISOR1 ukomaa kwa siku 120. Nafasi za kupanda sm 75-90 x sm 30 panda mbegu 2, kisha ikiota ing'olei ibaki moja.
Home »
» MBEGU BORA YA MTAMA TARISOR1 LIMA KIDOGO PATA ZAIDI
MBEGU BORA YA MTAMA TARISOR1 LIMA KIDOGO PATA ZAIDI
Related Posts:
WAZIRI MKENDA ANAYELETA UDANGANYIFU WA MITIHANI TUTAMKAMATA Na. Kadala Komba Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Amesema mitihani imekuwa ikienda vizuri kwenye Baraza la Mitihani la Tanzania isipokuwa inapokwenda shuleni wamekuwepo watu wachache sana… Read More
MWALIMU MWAKASEGE AINGILIA KATI VITA YA MCHUNGAJI KIMAROVITA YA MCHUNGAJI KIMARO: MWALIMU MWAKASEGE AMESEMA KATIKA SOMO LAKE LA “MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU” KWAMBA PAULO KATIKA UTUMISHI WAKE , KILA ALIPOKUWA AKIPINGWA AU AKIZUIWA, ALIKUWA NA UWEZO WA KUJU… Read More
*CCM YATOA AGIZO KUHUSU WALIMU KUPEWA VISHIKWAMBI* CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023, kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serika kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM Imesema imepokea malalamiko ya k… Read More
SHAKA AKABIDHI RASMI OFISI KWA MJEMA Picha zikionesha matukio mbalimbali ya makabidhiano ya ofisi baina ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Ndg Sophia Edward Mjema na aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka Jana Tarehe 21 Januari, 2023 O… Read More
MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 40 AMEKUTWA KANISANI BIRA NGUO ( MTUPU) Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye Madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana lililopo Mtaa wa Matema Halmashauri ya Mji wa Makambak… Read More
0 Comments:
Post a Comment