 |
Kusho ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Bahi Zaina Mlawa katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Joachim Nyingo mwisho ni Donald Mejiti Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi [MNEC]
|
 |
Kikao cha Baraza la Madiwani cha kupokea ,kupitia na kujadili Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2025\2026 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi | |
|
Mwenyekiti wa ccm wilaya ya Bahi Stuwart Masima akiwa na Paulina Bupamba katibu Ccm wilaya ya Bahi
Mbunge wa Jimbo la Bahi mkoani Dodoma, Kenneth Nollo kwenye mkutano wa Bajeti
 |
Diwani kata ya Ibugule Blandina Magawa akielezea changamoto ya maji kwenye kata yake
|
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI BI.ZAINA MLAWA
 |
Diwani kata ya Mpamantwa Sosthenes Mpandu Akipongeza kamati ya elimu Bahi kwa matokeo mazuri ya darasa la saba
|
 |
Wajumbe wa mkutano wa bajeti 2025\2026
|
KATIBU TAWALA WA WILAYA YA BAHI NDUGU. MWANAMVUA BAKARI AKIJITAMBULISHA KWENYE BARAZA LA MADIWA Donald Mejiti Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi [MNEC]
 |
ENG. HOPENESS LIUNDI MENEJA RUWASA AJIKIBU HOJA ZA MADIWANI WILAYA YA BAHI
|
HONORINA MKUNDA AFISA MIPANGO HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI AKISOMA TAARIFA YA BAJETI YA MWAKA 2025\2026 KWA NIABA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA BAHI ZAINA MLAWA
Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi tarehe
29\01\2025 kupitia mkutano wa baraza
,wamejadili na kupitisha rasimu ya mpango na bajeti mwaka wa fedha 2025\2026
Tsh.35,977,869,837. Bajeti hii ambayo imelenga
kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwa ni pamoja na kukamilisha
miradi ya maendeleo viporo,Utoaji mikopo ya asilimia 10 kupitia mapato ya ndani
kwa makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ,kuboresha miundombinu
mbalimbali ya Afya na elimu na kuendelea kuimarisha sekta ya kilimo,mifugo na
uvuvi kwakuviongezea thamani vyanzo vitokanavyo na kilimo Kilimo ,mifugo na
Uvuvi ili kuimarisha mapato ya Halmashauri na Wananchi wa wilaya ya Bahi kwa ujumla
wake alisema itakayotekelezwa katika
mwaka wa fedha 2025\2026
Honorina Mkunda Afisa
Mipango Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
alisema hayo wakati akiwakilisha
bajeti hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji Zaina Mlawa
Na. Kadala Komba Bahi
MWISHO
0 Comments:
Post a Comment