
Kusho ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Bahi Zaina Mlawa katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Joachim Nyingo mwisho ni Donald Mejiti Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bahi [MNEC] Kikao cha Baraza la Madiwani cha kupokea ,kupitia na kujadili Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2025\2026 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mwenyekiti wa ccm wilaya...